Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limesema watahiniwa 937,581, sawa na asilimia 81.8 ya watahiniwa milioni 1.14 wenye matokeo, wamefaulu mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi mwaka 2025.
Bofya Hapa Kutazama Matokeo
MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2025
0 Comments